Mteja wetu alitembelea page yetu ya Instagram ya Faharimotors_sales akaona gari ya ndoto yake,akaichangua,akatupigia simu akaja ofisini Dora Tower floor ya 3-Mwenge ,Bamaga Karibu na Kebby’s Hotel .Tukampatia invoice akalipa malipo ya awamu ya kwanza na tukampa mkataba na kumuagizia gari yake.Hakika ni salama kuagiza gari yako na Fahari motors.
Makabidhiano ya Nissan Dualis kwa Mteja wetu
